784
Habari za leo, haya ndiyo yaliyochapishwa na magazeti ya Kenya katika kurasa za mbele na nyuma. Baadhi yanadhihirisha jinsi viongozi wanavyozidi kutofautiana licha ya Wakenya kuhangaika kwa mafuriko.