766
Habari za Leo popote unapoyasoma makala haya? Nakukaribisha kuyasoma yaliyoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti nchini Kenya. Baadhi yanadhihirisha sherehe zinazoendelea kote nchini Kenya baada ya matokeo ya KCPE 2023 kutangazwa mapema Leo.